-
-
-
-
-
-
-
Matangazo ya Usharika tarehe 20 Julai 2025
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 20 JULAI, 2025
SIKU YA BWANA YA 5 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI
TUDUMU KATIKA FUNDISHO LA KRISTO
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 13/07/2025
Jumla - Tshs 20,060,000/= USD 26/=
MATOLEO KATIKATI YA WIKI
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
TANGAZO: Ibada Maalum ya Wazee 2025
Siku ya Jumamosi tarehe 09.08.2025 itafanyika 'Ibada Maalum ya Wazee' kuanzia miaka 60 na kuendelea. Ibada hii itafanyika hapa Usharikani Azania Front Cathedral kuanzia saa 3.00 asubuhi ikiambatana na Chakula cha Bwana.
Pia baada ya ibada hiyo kutakuwa na mazungumzo ya pamoja.
Wote mnakaribishwa!
Siku ya Vijana Azania Front Cathedral - 2025
Siku ya Jumapili tarehe 13 Julai 2025 ilikuwa ni Siku ya Vijana katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka ili kutambua na kuthamini mchango wa vijana katika kulijenga na kuliendeleza neno la Bwana.
-
-
-
Matangazo ya Usharika tarehe 13 Julai 2025
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 13 JULAI, 2025
SIKU YA BWANA YA 4 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI
KIJANA MKRISTO NI CHACHU YA MAENDELEO
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 06/07/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
- 1 of 2
- next ›