Kwaya ya Trumbeta, AZF
Kwaya ya Taarumbeta ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront ikutumbuiza katika moja ya ibada za Jumapili hapa usharikani.
Mchungaji Charles Mzinga akipokea mavuno katika mtaa wa Tabora.
Ziara za kuhudumu katika mitaa zinarejea baada ya kusimama kupisha janga la Covid-19
Tabora ni mtaa wa pili kutembelewa baada ya Viwege
Washarika wa Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront wakisafisha mikono yao kwa kutumia maji tiririka pamoja na sabuni maalum kabla ya kuingia ibadani kama njia mojawapo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona. Picha: AZF/Paulin Paul
Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront umekuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya Corona kwa kutoa elimu juu ya namna bora ya kujikinga kwa washarika kila siku za Jumapili katika ibada zote.
Washarika wakinawa mikono kwa maji tiririka pamoja na sabuni maalum ili kuweka mikono yao safi kabla ya kuingia kanisani kwa ajili ya Ibada. Picha: AZF/Paulin Paul
Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront umekuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya Corona kwa kutoa elimu juu ya namna bora ya kujikinga kwa washarika kila siku za Jumapili katika ibada zote.
AZF Cathedral
Pasaka: Kumbukumbu ya Kutesawa, Kufa na Kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo, Mkombozi wa Ulimwengu.
Habari za Usharika wa Azaniafront. Toleo namba 8.
Semina hii ilifanyika usharikani Azaniafront ikiongozwa na Mwal. Grace Elirehema kuanzia tarehe 3/8/2017 hadi tarehe 11/8/2017
A delegation of 12 people, 10 youths and 2 Pastors from the Northern Great Lakes Synod of USA visited the Eastern and Coastal diocese of the Evangelical Lutheran Church of Tanzania from 20th June 2017.
EASTER GREETINGS
“ For God so loved the world that He gave His one and only Son, that whoever believes in Him shall not perish but have eternal life.” John 3:16
Vijana 8 wakiambatana na viongozi 2, walifanya ziara ya wiki 3 katika kanisa rafiki la Kilutheri la Frondenberg, Ujerumani. Katika ziara hiyo walipata nafasi ya kushiriki mambo mbali mbali ya kikanisa, jamii, na mazingira ya wenzao wa Ujerumani.