Ibada za Kiswahili za Krismasi 2021 na mwaka mpya.
- Ijumaa tarehe 24 saa 1:00 jioni, Usiku wa Krismasi
- Jumamosi tarehe 25 Saa 1:00 na saa 4:30 asubuhi, ibada ya Krismasi.
- Jumapili tarehe 26 saa 2:00 asubuhi, ibada ikiambatana na ubatizo wa watoto wadogo.
- Ijumaa tarehe 31 saa 1:00 jioni, ibada ya mwisho wa mwaka.
- Jumamosi tarehe 1 Januari; saa 2:00 asubuhi, ibada ya mwaka mpya.
IBADA ZA KAWAIDA
JUMAPILI
Saa 1:00 - 3:30 asubuhi - Ibada ya kwanza; Saa 3:30 - 5:30 asubuhi - Ibada ya pili
Ibada zote hapo juu zinaambatana na vipindi vya shule ya jumapili
JUMATATU - IJUMAA (Kasoro siku za Sikukuu) Saa 12:00 - 1:00 asubuhi , Ibada ya Morning Glory
ALHAMISI
Saa 11:00 Jioni - Maombi na Maombezi