Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana./Heri Buberwa
Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral umejumuika na wakristo wote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2022.
Hii hapa ni ratiba ya matukio na Ibada zote kuelekea Sikukuu ya Pasaka ya mwaka huu wa 2022.
Siku ya Jumamosi tarehe 2 Aprili 2022 imefanyika ibada ya wazee katika Usharika wa Kanisa Kuu Azana Front Cathedral, jijini Dar es Salaam.