Jumapili Ya Tarehe 29/3/2015, Kwaya Ya Upendo Ilifanya Maandalizi Ya Kuzindua Albam Yao Mpya Kwa Kuchangisha Washarika Wa Kanisa Kuu Azaniafront Katika Ibada Ya Sikukuu Ya Mitende
Jumapili tarehe 19/10/2014, Kwaya ya upendo ilifanya ziara ya kumtembelea Chaplain Mzinga nyumbani kwake, kumjulia hali baada ya kurejea toka safari ya matibabu India.