Kanisa la Azania front kuonekana na sura mpya siku ya sikukuu baada ya kupambwa na kuwekwa mapambo mbalimbali ambayo yamefanya kuonesha muonekano mpya ndani na nje ya kanisa.
Umoja wa wanawake KKKT Azania Front waendeleza jadi yao ya kutembelea hospital ya mbalimbali kwa ajili ya kuwaona wagonjwa, jumamosi ya terehe 14 Nov 2015 walifanikiwa kutembelea hospitali ya Ocean Road na kuwapeleka wagojwa zawadi mbalimbali.
Hii ni desturi ya kina mama wa Jimbo la kati kila mwaka kukutana katika sharika fulani na kumwimbia Bwana.
Mwaka 2015 Wakina mama wa jimbo la kati, walikusanyika katika Tamasha la uimbaji lililofanyika usharika wa KKKT Mongolandege, kwa nia moja tu ya kumwinua Bwana kwa nyimbo, shangwe na vigelegele.
Hayo yalikuwa ni maneno ya kichwa cha habari katika semina ya kiroho ya umoja wa wanawake wa usharika wa Azania Front iliyofanyika kule Belinda Beach Resort siku ya jumamosi tarehe 14/6/2014.