Wakina mama wa Azania Front walioongoza ibada wakitoka ofisi ya usharika kuelekea ibadani
Wakina mama wakiingia ibadani
Wakina mama waliosema neno la siku wakiingia ibadani
Wakina mamawaliongoza ibada wakiingia ibadani
Parish woker Fedilia Urasa (mbele kulia) akiwaongoza wahubiri Doska Vuhahula na Gladness Maleko wakiingia ibadani
Doska Vuhahula akiongoza maombi
Doska akitoa matangazo
Kwaya ya kina mama wakiimba ibadani
Kwaya ya Upendo wakiimba Ibadani
Dada Gladness Maleko akihubiri
Mama Raheli Msuya akisoma neno
Mama Erica Malasusa akisoma neno
Wakina mama wakifuatilia maombi
Mwenyekiti wa kwaya ya Upendo na washirika wengine wakifuatilia ibada
Mchungaji mama Prudence Chuwa (Pili kushoto) akiwa na kwaya ya kinamama
Mchungaji Aston Kibona na washarika wengine wakifuatilia ibada
Wakina mama wakiwa ibadani
Dada Anna Fredrick akiigiza kama Yesu alivyowaosha miguu wanafunzi wake
Wakinamama walioigiza kuoshwa Miguu na Yesu wakisoma neno
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake akitoa Matangazo ya kuitimisha ibada