Wakolosai 3:18-22 - 07-07-2026
Kanisa ni msingi wa malezi bora.{Somo na Heri Buberwa}
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 05 JULAI, 2026
SIKU YA BWANA YA 5 BAADA YA UTATU
SIKUKUU YA VIJANA
NENO LINALOTUONGOZA LEO NI:
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Leo ni sikukuu ya vijana hivyo Ibada itaongozwa na Vijana.
3. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia na cheti: Kama kuna wageni ambao ni mara yao ya kwanza kushiriki nasi wasimame ili tuwakaribishe.
4. Matoleo ya Tarehe 28/06/2026