-
Kristo amepaa katika utukufu wake. {Somo na Heri Buberwa}
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 25 MEI, 2025
SIKU YA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT)
NENO LINALOTUONGOZA NI
NDUGU WAKAE PAMOJA KWA UMOJA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Wageni waliyeotufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 18 /05/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT