Matangazo ya Usharika tarehe 28 April 2024
MATANGAZO YA USHARIKA
LEO TAREHE 28 APRILI, 2024
SIKU YA BWANA YA 4 BAADA YA PASAKA
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI
NJOONI TUMWIMBIE BWANA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 21/04/2024
4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO: