Matangazo ya Usharika tarehe 14 April 2024
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 14 APRILI, 2024
SIKU YA BWANA YA 2 BAADA YA PASAKA
NENO LINALOTUONGOZA NI
BWANA HUCHUNGA NA KULISHA KUNDI LAKE
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 07/04/2024
Jumla - Tshs 23,790,500/= USD 300/=
4. MATOLEO KATIKATI YA WIKI