Matangazo ya Usharika tarehe 26 Machi 2023

 

 

                               MATANGAZO YA USHARIKA

                                   TAREHE 26 MACHI, 2023                       

                                  NENO LINALOTUONGOZA NI

                                       YESU NI MPATANISHI                             

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.  

Matangazo ya Usharika Tarehe 19 Machi 2023

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 19 MACHI, 2023

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI

YESU NI CHAKULA CHA UZIMA

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 12/03/2023

    Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wakumtolea

    kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO: