
Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani DK. Alex Malasusa akiongozana na Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront, Mchungaji Charles Mzinga pamoja na Mchungaji Prudence Chuwa mara baada ya kukamilika kwa ibada iliyofanyika Usharikani hapo, ambapo Mchungaji Chuwa alitumia ibada hiyo kuwaaga washarika wa Azaniafront baada ya kuhamishiwa Usharika wa Mbezi Beach.