Baadhi ya washarika wakishriki ibada katika mtaa wa Tabora Mchungaji Mzinga akitoa huduma ya ubatizo kwa mtoto mdogo katika mtaa wa Tabora Mchungaji Mzinga akitoa huduma ya ubatizo kwa mtoto mdogo katika mtaa wa Tabora Mchungaji Mzinga akiwabariki vijana waliopata kipaimara katika mtaa wa Tabora Washarika wa mtaa wa mtaa wa Tabora wakifuatilia ibada kanisani Mwonekano wa nje wa kanisa la mtaa wa Tabora wakati Mchungaji Mzinga akiendelea na ibada mtaanai hapo. Mchungaji M\inga akitoa huduma ya Chakula cha Bwana kwa washarika wa mtaa wa Tabora Mchungaji Mzinga akipokea sehemu ya mavuno yaliyowasilishwa mbele ya madhabahu ya Bwana kutoka kwa washarika wa mtaa wa Tabora Mchungaji Mzinga akipokea sehemu ya mavuno yaliyowasilishwa mbele ya madhabahu ya Bwana kutoka kwa washarika wa mtaa wa Tabora Mzee Simon Jengo akiendesha mnada wa bidhaa zilizotolewa kama Mavuno na washarika katika mtaa wa Tabora Mchungaji Mzinga akiwa ameambatana na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wazee la Usharika wa Azaniafront akikagua eneo linapojengwa kanisa la mtaa wa Tabora Washarika wa mtaa wa Tabora wakiwa wamekusanyika pamoja chini ya mti kwa ajili ya kupata chakula cha mchana mara baada ya kukamilika kwa ibada ya mavuno mtaani hapo.