
As you view the pages of this website, I hope you will sense the excitement and joy that our members share as God’s people in this place. We share worship life which values excellent biblical preaching and God-praising music and liturgy. We strive to provide faith-forming classes and events for all ages, bible study, confirmation classes, youth groups, and fellowship events. We invite and welcome all people to join us in our congregation.
I invite you to view the various pages of our website, but even more, I invite you to join us on any Sunday or special day of service for worship. When you visit with us, please introduce yourself to one of the pastors. If you have specific questions, don’t hesitate to call me at the church office (+255 748 290 290)
or by email: revvictormakundi@gmail.com
May God bless you this day and always,
Rev. Victor Makundi
-----------------------------------------------------------------
Ukiwa unasoma kurasa za tovuti hii, natarajia utapata msisimko na furaha ambayo washarika wetu wanashiriki kama watu wa Mungu katika usharika wa Azaniafront Cathedral. Tunashiriki maisha ya ibada ambayo yanathamini mahubiri bora ya kibiblia, nyimbo na ibada inayomtukuza Mungu. Tunajitahidi kutoa habari za madarasa na matukio yanayojenga imani kwa kila kizazi, masomo ya biblia, madarasa ya kipaimara, vikundi vya vijana, na matukio ya ushirika. Tunaalika na kuwakaribisha watu wote kujiunga nasi katika usharika wetu.
Ninakualika kupitia kurasa mbalimbali za tovuti yetu, lakini zaidi, ninakualika ujiunge nasi katika siku yoyote ya Jumapili au siku maalum ya huduma kwa ibada. Unapofika usharikani, tafadhali jitambulishe kwa mmoja wa wachungaji. Ikiwa una maswali maalum, usisite kunipigia simu ofisini mwa kanisa (+255 748 290 290) au kwa barua pepe: revvictormakundi@gmail.com (kiungo kinatuma barua pepe) Mungu akubariki leo na siku zote, Rev. Victor Makundi.