TAREHE 6/3/2015

2015maombi ya dunia12

Wakina mama kutoka Sharika mbalimbali wakiingia kwa maandamano katika ibada

2015maombi ya dunia15

2015maombi ya dunia01

Baadhi ya kinamama washiriki kuktoka Usharika wa Azania Front.

2015maombi ya dunia02

Kwaya ya kinamama wa kanisa la Angelikana wakiimba

2015maombi ya dunia03

Mchungaji Grace Masalakulangwa akihubiri

2015maombi ya dunia04

Mchungaji Prudence Chuwa akifuatilia ibada

2015maombi ya dunia05

Mchungaji Prudence Chuwa (kulia) akiwa na wachungaji wengine wakitambulishwa

2015maombi ya dunia06

Mchungaji wa Azania Front mama Prudence Chuwa akiwa na wachungaji wanawake wa makanisa mbalimbali

2015maombi ya dunia07

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa Kanisa kuu la Azania Front mama Apaisaria Kilewo (Kulia) akifuatilia ibada 

2015maombi ya dunia08

Parish Worker wa kanisa kuu la Azania Front mama Fedilia Urasa (mbele, kati) akiwa na wakinamama wengine wakiimba wakati wa maombi

2015maombi ya dunia09

Viongozi wa madhehebu mbalimbali wakiwa wakifungua ibada kwa Sala

2015maombi ya dunia10

Viongozi wa Makanisa mbali mbali wakiwa pamoja jukwa kuu

2015maombi ya dunia11

Viongozi wakiwa pamoja na wahubiri wakiwa katika meza kuu

2015maombi ya dunia13

Wakina mama wa Azania Front wakionyesha tabasamu baada ya kufurahishwa na jambo

2015maombi ya dunia14

Wakina mama wakifuatilia maombi

2015maombi ya dunia16

Wakinamama kutoka makanisa mbalimbali walioshiriki katika ibada ya maombi

2015maombi ya dunia17

Wanawake wa Azania Front wakiimba wimbo wakati wa maombi

2015maombi ya dunia18

Washiriki kutoka Azania Front wakifuatilia ibada