Hii ni desturi ya kina mama wa Jimbo la kati kila mwaka kukutana katika sharika fulani na kumwimbia Bwana.
Mwaka 2015 Wakina mama wa jimbo la kati, walikusanyika katika Tamasha la uimbaji lililofanyika usharika wa KKKT Mongolandege, kwa nia moja tu ya kumwinua Bwana kwa nyimbo, shangwe na vigelegele.
Hakika siku hiyo ilikuwa ya furaha kwa kila ambaye alikuwa maeneo ya Mongolandege, Roho mtakatifu alishuka mahali pale na watu walikolewa kwa nyimbo za kutoka katika kwaya za usharika mbalimbali hakika watu walimuona Bwana kwa uimbaji.
Tamasha hilo lilifunguliwa na Mchungaji Mamford Kijalo, pia Mchungaji Kijalo alitoa neno la ufunguzi ambalo lilikuwa linaezea kuhusu wito na utumishi wa kumwimbia Bwana, Alinukuu katika kitabu cha Kutoka 15:1 hadi 5.
Katika Tamasha hilo zilishiriki kwaya zaidi ya 25 kutoka katika sharika na mitaa kutoka jimbo la kati.
Baadhi ya kinamama wa kwaya ya kinamama katika picha ya pamoja baada ya Tamasha
Baadhi ya kwaya ya kinamama walioshiriki katika uimbaji
Baadhi ya wachungaji na wageni waalikwa washiki Tamasha
Baadhi ya wanakwaya walioshiriki katika tamasha la uimbaji
Kinamama wakiimba
Kinamama wakiimba wimbo wa kienyeji
Kwaya ya Kariakoo wakishiriki katika uimbaji
Mama Askofu Erica Malasusa (Kulia Mwisho) akiwa na viongozi wa umoja wa wanawake wa Azania Front
Mchungaji Kijalo akiwa na mfatiliuaji wa uimbaji katika tamasha
Mchungaji Kijalo akifungua tamasha
Moja wapo za kwaya zilizoshiriki Tamasha la uimbaji
Mwalimu Upendo akiimbisha kwaya
Mwenyekiti mama Kileo (Kushoto mwisho), mama Askofu mama Malasusa (Kati) wakifurahi baada ya uimbaji
Kulia ni Mwenyekiti wa malezi wa kinamama na watoto wa jimbo la kati
Parish worker Fedelia Urasa (wa pili kushoto) akiwa na wanakwaya wenzake katika picha ya pamoja
Uimbaji ukiendelea
Umati wa kinamama kutoka sharika mbalimbali walioshiki tamasha
Viongozi wa kwaya ya wanawake wakiwa na baadhi ya wanakwaya
Viongozi wa umoja wa wanawake Azania Front
Wakinamama katika picha ya ukumbusho baada ya tamasha la uimbaji kumalizika
Wakinamama katika uimbaji
Wakinamama kutoka kwaya mbalimbali za usharika wa Azania Front katika picha ya pamoja
Wakinamama wa Azania front wakiimba katika Tamasha
Wakinamama wa Azania Front wakiingia kuimba
Wakinamama wa Azania Front walioshiki uimbaji katika picha ya pamoja
Wakinamama wa kwaya kuu walioshiki katika uimbaji kwenye picha ya pamoja
Wakinamama wakisubiri uimbaji
Wakinamama wakitoka kwenye uimbaji