Event Date: 
09-08-2025

Siku ya Jumamosi tarehe 09.08.2025 itafanyika 'Ibada Maalum ya Wazee' kuanzia miaka 60 na kuendelea. Ibada hii itafanyika hapa Usharikani Azania Front Cathedral kuanzia saa 3.00 asubuhi ikiambatana na Chakula cha Bwana.

Pia baada ya ibada hiyo kutakuwa na mazungumzo ya pamoja.

Wote mnakaribishwa!