Jumapili ya tarehe 21/10/2018 ilikuwa Sikukuu ya sherehe ya Mavuno ilyofana sana. Ibada iliongozwa na Askofu Dr. Alex Malasusa akisaidiana na Chaplain Mzinga na Mchungaji Mwaipopo. Sherehe ilipambwa na kwaya mbali mbali ikiwemo kwaya ya Upendo toka Moshi, Mkombozi toka Msasani, Umoja na tarumbeta za Azaniafront. Sherehe ilianza kwa maandamano mafupi yakiongozwa na wazee wa kanisa. Washarika walifuata wakiwa na sadaka yao ya mavuno. Baada ya ibada ulifanyika mnada wa mazao na wanyama.
Jesus is the light of the world, with him within, you will not walk in the dark. Yesu ni nuru ya ulimwengu, akiwa ndani yako, hutatembea gizani. {Pastor P. Chuwa}
Many are invited, but few are chosen in the Kingdom of God. Wengi wamekaribishwa lakini wachache wamechaguliwa katika Ufalme wa Mungu. {Pastor P. Chuwa}