Date: 
24-10-2018
Reading: 
Matthew 24:42-44 (Mathayo 24:42-44)

WEDNESDAY  24TH OCTOBER 2018 MORNING           

Matthew 24:42-44 New International Version (NIV)

42 “Therefore keep watch, because you do not know on what day your Lord will come. 43 But understand this: If the owner of the house had known at what time of night the thief was coming, he would have kept watch and would not have let his house be broken into. 44 So you also must be ready, because the Son of Man will come at an hour when you do not expect him.

Jesus Christ will come to earth again one day to judge the living and the dead. We don’t know when He will come. So let us be ready always. Let us prepare for His coming by living as God would  wish us to do. Let us trust in Jesus Christ as our Lord and Saviour and obey God’s laws. 

JUMATANO TAREHE 24 OKTOBA 2018 ASUBUHI              

MATHAYO 24:42-44

42 Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. 
43 Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. 
44 Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja. 
 

Yesu Kristo atarudi duniani siku moja kuhukumu walio hai na wafu. Hatujui atakuja lini. Kwa hiyo tujiandae tuwe tayari wakati wowote kwa kumtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu na kwa kutii amri za Mungu.