Date: 
30-10-2018
Reading: 
1 Thessalonians 1:8-10

WEDNESDAY 30TH OCTOBER 2018

1 Thessalonians 1:8-10 New International Version (NIV)

The Lord’s message rang out from you not only in Macedonia and Achaia—your faith in God has become known everywhere. Therefore we do not need to say anything about it, for they themselves report what kind of reception you gave us. They tell how you turned to God from idols to serve the living and true God, 10 and to wait for his Son from heaven, whom he raised from the dead—Jesus, who rescues us from the coming wrath.

The Apostle Paul was proud of the Christians at Thessalonica. They had turned from worshipping idols and become believers in Jesus Christ. They had a good testimony of living holy lives and sharing their faith with others.

May God help each one of us to live Holy lives and to tell other people about Jesus Christ so that they may come to faith in Him.

JUMANNE TAREHE 30 OCTOBER 2018

1 Wathesalonike 1:8-10 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Maana neno la Mungu limeenea kutoka kwenu, sio mpaka Makedonia na Akaya tu, bali imani yenu kwa Mungu imejulika na mahali pote. Kwa hiyo hatuhitaji kusema lo lote kuhusu imani yenu; kwa maana wao wenyewe wanaeleza jinsi mlivyotupokea. Wanasimulia jinsi mlivyomgeukia Mungu mkaacha ibada za sanamu, ili kumtumikia Mungu aliye hai na wa kweli; 10 na kumngoja Mwanae kutoka mbinguni, ambaye alimfufua kutoka kwa wafu, yaani Yesu. Yeye anatukomboa kutoka katika ghadhabu ijayo.

Mtume Paulo alifurahia sana Wakristo kule Thesalonike. Walikuwa na ushuhuda mzuri. Waliacha kuabudu sanaamu na waliamini Yesu Kristo kama wokozi wao.  Walikuwa na maadili mema na walimshuhudia Yesu pia kwa maneno.

Mungu atusiaidie sisi sote kuishi maisha Matakatifu na kumshuhudia Yesu Kristo kwa maneno na matendo ili watu wengine wapata Nafasi kumwamini.