Matangazo ya Jumapili tarehe 27/08/2017
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 27 AGOSTI, 2017
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI, BALI HUWAINUA WANYENYEKEVU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: wageni waliotufikia na cheti ni Dr. Janet Mwambona toka Gaborone Congregation Lutheran Church Botswana. Anahamia hapa.