Songs of Songs 8:6 { Wimbo ulio bora 8:6} - 28-07-2017
Learn to love God and our Spouses..Tukazane kumpenda Mungu na wenzi wetu. ..{By Pastor P Chuwa}
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 09 JULAI, 2017
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI TUNAITWA KUTENDA HAKI NA HURUMA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti:
3. Tarehe 22/07/2017 saa 3.00 asubuhi hapa usharikani kutakuwa na kikao cha wajane na Wagane. Wajumbewote mnaombwa kuhudhuria siku hiyo.