Date: 
26-07-2017
Reading: 
1John 4:7-10 {1Yohana 4:7-10}

WEDNESDAY 26TH JULY 2017 MORNING                             
1 John 4:7-10New International Version (NIV)
God’s Love and Ours
7 Dear friends, let us love one another, for love comes from God. Everyone who loves has been born of God and knows God. 8 Whoever does not love does not know God, because God is love. 9 This is how God showed his love among us: He sent his one and only Son into the world that we might live through him. 10 This is love: not that we loved God, but that he loved us and sent his Son as an atoning sacrifice for our sins.


 Our theme this week is The Law of Love. We are called to love God and to love our neighbor. God showed His great love for us in Jesus Christ who became a man and lived on earth. Jesus died on the cross and rose again. Jesus was punished for our sins so that we can be forgiven and be friends with God.
Pray that God would increase our love for Him and help us to show our love to the people we meet every day.


JUMATANO TAREHE 26 JULAI 2017 ASUBUHI                       1 YOHANA 4:7-10
7 Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.  8 Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.  9 Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.  10 Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. 
Wazo kuu wiki hii ni Amri wa upendo. Tumpende  Mungu na jirani yetu. Mungu alionyesho pendo lake kuu kwetu kwa kumtuma Yesu Kristo duniani. Yesu alikufa msalabani na alifufuka tena. Yesu aliadhibiwa kwa ajili ya dhambi zetu ili sisi tuwe rafiki na Mungu.  Kwa hiyo sisi tutikia upendo huu kwa kumpenda Mungu na kupenda binadamu wenzetu kwa njia ya maneno na matendo mazuri.