Job 22:21 NIV {Ayubu 22:21} - 06-07-2017
Listen to God, follow his guidance and be blessed.. Msikilize Mungu na ufuate njia zake ubarikiwe. {By Pr. P. Chuwa}
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 02 JULAI, 2017
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI KIJANA MKRISTO NA MAISHA YA USHINDI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti:
3. Leo ni sikukuu ya Umoja wa Vijana hivyo ibada zote zitahudumiwa na Vijana.