Date: 
21-07-2017
Reading: 
James 3:3-18 {Yakobo 3:3-18}

FRIDAY 21ST JULY 2017 MORNING                                       

James 3:13-18  New International Version (NIV)

Two Kinds of Wisdom

13 Who is wise and understanding among you? Let them show it by their good life, by deeds done in the humility that comes from wisdom. 14 But if you harbor bitter envy and selfish ambition in your hearts, do not boast about it or deny the truth. 15 Such “wisdom” does not come down from heaven but is earthly, unspiritual, demonic. 16 For where you have envy and selfish ambition, there you find disorder and every evil practice.

17 But the wisdom that comes from heaven is first of all pure; then peace-loving, considerate, submissive, full of mercy and good fruit, impartial and sincere. 18 Peacemakers who sow in peace reap a harvest of righteousness.

As followers and students of Jesus how should we live? James talks about the spiritual wisdom which we should exhibit in our lives.  This is not related to formal education but is given by the Holy Spirit.  Education and knowledge is good but without spiritual wisdom it can be misused.

Seek to know God more through prayer and Bible reading and be lead by the Holy Spirit in your daily life.

IJUMAA TAREHE 21 JULAI 2017 ASUBUHI                                 

YAKOBO 3:13-18

13 N'nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima. 
14 Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli. 
15 Hekima hiyo siyo ile ishukayo kutoka juu, bali ni ya dunia, ya tabia ya kibinadamu, na Shetani. 
16 Maana hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko, na kila tendo baya. 
17 Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki. 
18 Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.

Je ! kama wafuasi na wanafunzi wa Yesu Kristo tunapaswa kuishi namna gani? Tunapaswa kuongozwa na Roho Mtakatifu.

Yakobo anaelezea sifa za hekima ya kiroho. Ni tofuati na elimu au ujuzi. Elimu ni muhimu lakini bila hekima kutoka kwa Mungu haitakusaidia kuishi maisha ya kumpendeza  Mungu.

Tujitahidi kuongozwa na Roho Mtakatifu kila siku.