John 19:1-7 (Yohana 19:1-7) - 31-03-2018
Jesus Christ died so we can be reconciled with God..Yesu alikufa ili tupatanishwe na Mungu.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 25 MARCH, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI WOTE SHANGILIENI BWANA ANAKUJA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 18 MARCH, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI YESU NI MPATANISHI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 11 MARCH, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI TUTUNZE UUMBAJI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.