Date: 
17-03-2018
Reading: 
Job 10:8-13 (Ayubu 10:8-13)

SATURDAY 16TH MARCH 2018 MORNING                               

Job 10:8-13 New International Version (NIV)

“Your hands shaped me and made me.
    Will you now turn and destroy me?
Remember that you molded me like clay.
    Will you now turn me to dust again?
10 Did you not pour me out like milk
    and curdle me like cheese,
11 clothe me with skin and flesh
    and knit me together with bones and sinews?
12 You gave me life and showed me kindness,
    and in your providence watched over my spirit.

13 “But this is what you concealed in your heart,
    and I know that this was in your mind:

This is part of the complaint of Job about his suffering. He complains that God made him and now is causing him to suffer.

We know about the suffering of Job.

What about you? Do you feel that you are suffering unfairly? Do you blame God?

Turn to God in prayer. Tell God how you feel. Ask God to help you. He will hear and answer your prayers. He will either change your situation or give you the strength to cope with it.

 

JUMAMOSI TAREHE 16 MACHI 2018 ASUBUHI                         

AYUBU 10:8-13

Mikono yako imeniumba na kunifinyanga; Nawe utageuka na kuniangamiza? 
Kumbuka, nakusihi ulivyonifinyanga kama vile udongo; Nawe, je! Utanirudisha uvumbini tena? 
10 Je! Wewe hukunimimina kama maziwa, Na kunigandisha mfano wa jibini? 
11 Umenivika ngozi na nyama, Na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa. 
12 Umenijazi uhai na upendeleo, Na maangalizi yako yameilinda roho yangu. 
13 Lakini mambo haya uliyaficha moyoni mwako; Najua kuwa haya yamo nafsini mwako; 
 

Ayubu analalamika kwa sababu ya mateso yake. Anasema kwamba Mungu alimuumba na sasa anamtesa.

Tunaelewa kuhusu mateso ya Ayubu.  Wewe Je! Umesikia kuteswa? Mlilie Mungu. Mweleze jinsi unavyojisikia.

Mungu atakusikia na kukujibu. Aidha ataondoa mateso yako au atakupa neema kukabiliana nayo.