Date: 
12-03-2018
Reading: 
Genesis 3:23 (Mwanzo 3:23

MONDAY 12TH MARCH 2018 MORNING                         

Genesis 3:23 New International Version (NIV)

23 So the Lord God banished him from the Garden of Eden to work the ground from which he had been taken.

These words occur after Adam and Eve had disobeyed God and sin had entered the world. Before that God had put Adam in the garden and given him the job or tending it (Genesis 2:15).

Work is part of God’s good plan for mankind. But work has now often become very hard and frustrating. This is the result of the fall (see Genesis 3:17-19).

Pray that God would forgive your sins and make your work satisfying and productive. 

JUMATATU  TAREHE 12 MACHI 2018 ASUBUHI          

MWANZO 3:23

23 kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa. 

Mambo haya yalitokea baada Adam na Hawa kumwaasi Mungu na dhambi kuingia duniani. Kablaya hapo Mungu alimweka Adamu bustani ya Eden kuilima na kuitunza. (Mwanzo 2:15).

Kazi ni sehemu ya mpango mzuri wa Mungu kwa binadamu. Lakini kazi sasa imebadilika na mara nyingine ni ngumu sana. Haya ni sababu ya anguko la binadamu. (Mwanzo 3:17-19)

Tuombe Mungu atusamehe na abariki kazi zetu.