Date: 
30-11-2016
Reading: 
Wed 30th Nov, Romans 13:11-14 (NIV)

WEDNESDAY 30TH NOVEMBER 2016 MORNING                      

Romans 13:11-14    New International Version (NIV)

The Day Is Near

11 And do this, understanding the present time: The hour has already come for you to wake up from your slumber, because our salvation is nearer now than when we first believed. 12 The night is nearly over; the day is almost here. So let us put aside the deeds of darkness and put on the armor of light. 13 Let us behave decently, as in the daytime, not in carousing and drunkenness, not in sexual immorality and debauchery, not in dissension and jealousy. 14 Rather, clothe yourselves with the Lord Jesus Christ, and do not think about how to gratify the desires of the flesh.[a]

Footnotes:

  1. Romans 13:14 In contexts like this, the Greek word for flesh (sarx) refers to the sinful state of human beings, often presented as a power in opposition to the Spirit.

The Apostle Paul, near the end of his letter to the Christians at Rome, wants to remind them to be prepared. He wants them to know that Christ will come again to take His church. They need to prepare themselves by living in a way which is pleasing to God.

May God help us to heed this message and think about how we live?  Are we ready to welcome Jesus Christ when He returns? 

JUMATANO TAREHE 30 NOVEMBA 2016  ASUBUHI                   

RUMI 13:11-14

 11 Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu u karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini 
12 Usiku umeendelea sana, mchana umekaribia, basi na tuyavue matendo ya giza, na kuzivaa silaha za nuru. 
13 Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu. 
14 Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata kuwasha tamaa zake.

Mtume Paulo, karibu na mwisho wa Waraka wake kwa Warumi, anawakumbusha kutafakari kuhusu mwenendo wao. Anawakumbusha kwamba Yesu atarudi kuchukua Kanisa lake. Wanapaswa kuishi maisha matakatifu kumpendeza Mungu.

Mungu atusaidie sisi kutafakari kuhusu mwenendo wetu. Je! tunaishi maisha ya kumpendeza Mungu?  Tutakuwa tayari kumpokea akifika?