Date: 
16-11-2016
Reading: 
Wed 16th Nov 2016, Mark 13:24-27 (NIV)

WEDNESDAY 16TH NOVEMBER 2016  MORNING                      

Mark 13:24-27 New International Version (NIV)

24 “But in those days, following that distress,

“‘the sun will be darkened,
    and the moon will not give its light;
25 the stars will fall from the sky,
    and the heavenly bodies will be shaken.’[a]

26 “At that time people will see the Son of Man coming in clouds with great power and glory. 27 And he will send his angels and gather his elect from the four winds, from the ends of the earth to the ends of the heavens.

Footnotes:

  1. Mark 13:25 Isaiah 13:10; 34:4

Jesus is teaching His disciples about His Second coming and the end of the world. There will be some unusual events occurring in the natural world before Jesus comes. Then Jesus will descend in glory to earth. The elect will be gathered.   The elect are those who God has chosen who have trusted in Jesus Christ  as their Lord and savior.

Be prepared for  that great day. Make sure you are among the elect by repenting your sins and trusting in Jesus  Christ as your Lord and Saviour.

JUMATANO TAREHE 16 NOVEMBA 2016 ASUBUHI                    

MARKO  13:24-27

24 Lakini siku zile, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hatautoa mwanga wake. 
25 na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika. 
26 Hapo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu. 
27 Ndipo atakapowatuma malaika na kuwakusanya wateule wake toka pepo nne, toka upande wa mwisho wa nchi hata upande wa mwisho wa mbingu. 
 

Yesu anawafundisha mitume wake kuhusu ujio wake wa pili na mwisho wa dunia. Yesu atashuka na mawingu na atakuja na utukufu duniani. Malaika watakusanya wateule wa Mungu. Wateule ni  wale ambao wamechaguliwa na Mungu na wamemwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wao.

Jiandae kwa siku hiyo. Uhakikishe kwamba wewe ni mmoja wa wateule wa Mungu. Tubu dhambi zako na umtegemee Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako.