Wageni kutoka usharika wa frodenberg, unna, ujerumani watembelea usharika wa azania front
Tarehe 22 juni 2015 hadi 11 july 2015

Ugeni huo ulikuwa na ujumbe wa watu 9, vijana 7 na wachungaji 2. Vijana walikuwa mchanganyiko wa kike na wa kiume. Pia katika wageni hao walikuwepo wafanya kazi , wanafunzi. Unna ni usharika ambao ni rafiki wa usharika wa Azania Front kwa miaka mingi sasa.