Event Date:
10-07-2018
Vijana 7 wa usharika wa Azaniafront wamesafiri kwenda Frondenberg Ujerumani katika ziara ya mafunzo kuanzia tarehe 6/7/2018 hadi tarehe 21/07/2018. Ziara hiyo iko katika mahusiano ya muda mrefu ambapo kila baada ya miaka 2 vijana hutembeleana toka pande zote 2. Wameongozana na Chaplain Mzinga na Mzee Bertha Semu-somi ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya uhusiano.