Date: 
24-12-2016
Reading: 
Sat 24th Dec: Psalm 148:1-6, Hebrews 2;11-16, John 1:1-5 (NIV)

SATURDAY 24TH DECEMBER 2016

CHRISTMAS EVE.  JESUS IS BORN FOR US , HALLELUYAH

Psalm 148:1-6, Hebrews 2;11-16, John 1:1-5

Praise the Lord.[a]

Praise the Lord from the heavens;
    praise him in the heights above.
Praise him, all his angels;
    praise him, all his heavenly hosts.
Praise him, sun and moon;
    praise him, all you shining stars.
Praise him, you highest heavens
    and you waters above the skies.

Let them praise the name of the Lord,
    for at his command they were created,
and he established them for ever and ever—
    he issued a decree that will never pass away.

Footnotes:

  1. Psalm 148:1 Hebrew Hallelu Yah; also in verse 14

 

Hebrews 2:11-16  New International Version (NIV)

11 Both the one who makes people holy and those who are made holyare of the same family. So Jesus is not ashamed to call them brothers and sisters.[a] 12 He says,

“I will declare your name to my brothers and sisters;
    in the assembly I will sing your praises.”[b]

13 And again,

“I will put my trust in him.”[c]

And again he says,

“Here am I, and the children God has given me.”[d]

14 Since the children have flesh and blood, he too shared in their humanity so that by his death he might break the power of him who holds the power of death—that is, the devil— 15 and free those who all their lives were held in slavery by their fear of death. 16 For surely it is not angels he helps, but Abraham’s descendants.

Footnotes:

  1. Hebrews 2:11 The Greek word for brothers and sisters (adelphoi) refers here to believers, both men and women, as part of God’s family; also in verse 12; and in 3:1, 12; 10:19; 13:22.
  2. Hebrews 2:12 Psalm 22:22
  3. Hebrews 2:13 Isaiah 8:17
  4. Hebrews 2:13 Isaiah 8:18

John 1:1-5    New International Version (NIV)

The Word Became Flesh

In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. He was with God in the beginning. Through him all things were made; without him nothing was made that has been made.In him was life, and that life was the light of all mankind. The light shines in the darkness, and the darkness has not overcome[a] it.

Footnotes:

  1. John 1:5 Or understood

This evening we will gather together in church to remember the birth of our Lord Jesus Christ over 2000 years ago in a stable in Bethlehem. We are used to hearing the traditional accounts of these events from the Gospels of Matthew and Luke but this year we have been given a passage from John’s Gospel.  John speaks of Jesus as The Word of God who was with God from the beginning. Jesus did not begin His life when He was born in Bethlehem. Jesus is eternal and was active in the creation of the world. He is the one who brings true light to the world. Welcome this light into your life today. Let Jesus shine on you and through you to the world.  

JUMAMOSI TAREHE 24 DISEMBA 2016

USIKU MTAKATIFU – YESU AMEZALIWA KWA AJILI YETU, HALELUYAH

Zaburi 148:1-6, Hebrews 2:11-16, John 1:1-5

Zaburi 148:1-6

1 Haleluya. Msifuni Bwana kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu. 
2 Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote. 
3 Msifuni, jua na mwezi; Msifuni, nyota zote zenye mwanga. 
4 Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu. 
5 Na vilisifu jina la Bwana, Kwa maana aliamuru, vikaumbwa. 
6 Amevithibitisha hata milele na milele, Ametoa amri wala haitapita. 
 

Waebrania 2:11-16

11 Maana yeye atakasaye na hao wanaotakaswa wote pia watoka kwa mmoja. Kwa ajili hii haoni haya kuwaita ndugu zake; 
12 akisema, Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu; Katikati ya kanisa nitakuimbia sifa. 
13 Na tena, Nitakuwa nimemtumaini yeye. Na tena, Tazama,mimi nipo hapa na watoto niliopewa na Mungu. 
14 Basi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi, 
15 awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa. 
16 Maana ni hakika, hatwai asili ya malaika, ila atwaa asili ya mzao wa Ibrahimu. 
 

Yohana 1:1-5

1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.  
 

Leo jioni tutakusanyika pamoja kanisani kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo Mwokozi wetu, zaidi ya miaka 2000 iliyopita kule Bethlehemu. Tumezoea kusikia habari hizi kutoka Injili za Mathayo na Luka. Lakini mwaka huu tumepewa somo kutoka Injili ya Yohana. Yohana anatukumbusha kwamba Yesu hakuanza maisha yake wakati alipozaliwa Bethelehemu. Yesu ni wa milele. Yesu ni Neno la Mungu. Yesu alihusika na uumbaji wa dunia akiwa na Baba yake. Yesu ni Nuru ya kweli inayomulika ulimwengu. Mkubali Yesu akupe Nuru yake na akuwezeshe kuonyesha nuru yake kwa watu wa Dunia hii.   

 

,