Date: 
12-10-2017
Reading: 
Romans 6:15-16 NIV (Warumi 6:15-16)

THURSDAY 12th OCTOBER 2017 MORNING

Romans 6:15-16; New International Version (NIV)

Living Righteous Life

15 What then? Shall we sin because we are not under the law but under grace? By no means! 16 Don’t you know that when you offer yourselves to someone as obedient slaves, you are slaves of the one you obey—whether you are slaves to sin, which leads to death, or to obedience, which leads to righteousness?

MESSAGE

It is our responsibility to live a life of repentance because the grace of God exists to help us draw near to the throne of God's mercy. We cannot live a holy life if we do not see repentance through the grace. Let us confess our sin or guilt because sinful life results in spiritual death.

JUMATANO YA TAREHE 12th OKTOBA 2017 ASUBUHI

Tuishi Maisha ya Utakatifu

 

Warumi 6:15-16  

15 Ni nini basi? Tufanye dhambi kwa sababu hatuwi chini ya sheria bali chini ya neema? Hasha! 
16 Hamjui ya kuwa kwake yeye ambaye mnajitoa nafsi zenu kuwa watumwa wake katika kumtii, mmekuwa watumwa wake yule mnayemtii, kwamba ni utumishi wa dhambi uletao mauti, au kwamba ni utumishi wa utii uletao haki.

UJUMBE

Ni wajibu wetu kuishi maisha ya toba kwa sababu neema ya Mungu ipo ili kutusaidia kukikaribia kiti cha rehema cha Mungu. Hatuwezi kuishi maisha matakatifu ikiwa hatukuona toba iliyo ndani ya neema. Tusizoelee dhambi au hatia, kwa sababu maisha ya dhambi huishia kwenye adhabu ya kifo.