Date: 
12-06-2020
Reading: 
Roman 16:25-27

FRIDAY 12TH JUNE 2020 MORNING     

Romans 16:25-27 New International Version (NIV)

25 Now to him who is able to establish you in accordance with my gospel, the message I proclaim about Jesus Christ, in keeping with the revelation of the mystery hidden for long ages past, 26 but now revealed and made known through the prophetic writings by the command of the eternal God, so that all the Gentiles might come to the obedience that comes from[f] faith— 27 to the only wise God be glory forever through Jesus Christ! Amen.

Jesus Christ and the salvation that he brings strengthen Christians and make it possible for them to be steadfast. Apostle Paul wrote, “If God is for us, who is against us?” (8:31). In other words, if God is for us, it does not matter who is against us because, in the end, God will prevail. When we have faith in God, we will survive in the midst of a stormy world.


IJUMAA TAREHE 12 JUNI 2020  ASUBUHI                                        WARUMI 16:25-27

25 Sasa na atukuzwe yeye awezaye kuwafanya imara, sawasawa na injili yangu na kwa kuhubiriwa kwake Yesu Kristo, sawasawa na ufunuo wa ile siri iliyositirika tangu zamani za milele,
26 ikadhihirishwa wakati huu kwa maandiko ya manabii, ikajulikana na mataifa yote kama alivyoamuru Mungu wa milele, ili waitii Imani.
27 Ndiye Mungu mwenye hekima peke yake. Utukufu una yeye kwa Yesu Kristo, milele na milele. Amina.

 

Yesu Kristo na ule wokovu aletao kwetu, huwaimarisha Wakristo na kuwawezesha kusimama imara. Mtume Paulo aliandika, “Mungu upande wetu akiwapo, ni nani aliye juu yetu?” (Rum. 8:31). Kwa maneno mengine, ikiwa Mungu yuko upande wetu, haijalishi ni nani aliye kinyume chetu kwa sababu, mwisho wa yote Mungu atatushindia. Tukimtumaini Mungu, tutakuwa salama katika dunia hii yenye tufani.