Date: 
29-11-2017
Reading: 
Revelation 14:13 NIV {Ufunuo 14:13}

WEDNESDAY 29TH NOVEMBER 2017 MORNING                           

Revelation 14:13 New International Version (NIV)

13 Then I heard a voice from heaven say, “Write this: Blessed are the dead who die in the Lord from now on.”

“Yes,” says the Spirit, “they will rest from their labor, for their deeds will follow them.

The death and resurrection of Jesus Christ changed the world forever. Death is a great enemy but Jesus has removed the sting of death. If we die in the Lord, trusting in Him as our Lord and savior we will gain Eternal Life. We will know rest and joy and God will reward us for our good deeds done in faithfulness to Him.

JUMATANO TAREHE 29 NOVEMBA 2017 ASUBUHI       

Ufunuo wa Yohana 14:13

13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. 
 

Kifo cha Yesu Kristo msalabani na ufufuo kwake kimebadilisha kabisa dunia. Kifo bado ni adui lakini kimebadilishwa kwa wale wafao katika Bwana. Kwa sisi ambao tunamtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu kifo kimebadilika. Kifo cha mwili ni njia ya kufika Mbinguni kwenye maisha ya milele na baraka tele. Mungu atatupokea na atatupongeza kwa matendo yetu mema na ya imani.