Date: 
20-05-2019
Reading: 
Psalm 57:7-11 (Zaburi 57:7-11)

MONDAY  20TH MAY 2019 MORNING                                     

Psalm 57:7-11 New International Version (NIV)

My heart, O God, is steadfast,
    my heart is steadfast;
    I will sing and make music.
Awake, my soul!
    Awake, harp and lyre!
    I will awaken the dawn.

I will praise you, Lord, among the nations;
    I will sing of you among the peoples.
10 For great is your love, reaching to the heavens;
    your faithfulness reaches to the skies.

11 Be exalted, O God, above the heavens;
    let your glory be over all the earth.

The Psalmist declares that He will sing and make music to God.  He will use instruments to make music to praise the Lord. He praises the Lord for His great love and faithfulness.

Yesterday we came together in church to worship God with many special songs.

Let us continue to praise God in song. Let us worship Him for He is worthy.


JUMATATU TAREHE 20 MEI 2019 ASUBUHI                          

ZABURI 57:7-11

7 Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Moyo wangu u thabiti. Nitaimba, nitaimba zaburi, 
8 Amka, utukufu wangu. Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri. 
9 Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa. 
10 Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, Na uaminifu wako hata mawinguni. 
11 Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.

Mwandishi wa Zaburi anamsifu Mungu kwa kuimba na kwa kutumia vyombo vya musiki. Anamsifu Mungu kwa sababu anastahili sifa. Mungu ni mwema na mwaminifu na fadhili zake ni za milele.

Jana tumekusayika kanisani na tulipata Nafasi kuimba nyimbo nyingi kutoka makabila mbalimbali. Tulimsifu Mungu kwa njia ya nyimbo.

Tuendelee kumsifu Mungu kwa nyimbo kila siku. Mungu anastahili sifa zetu.