Date: 
25-05-2019
Reading: 
Psalm 148:1-9 (Zaburi 148:1-9)

SATURDAY 25TH MAY 2019 MORNING                                        

Psalm 148:1-6 New International Version (NIV)

Psalm 148

Praise the Lord.[a]

Praise the Lord from the heavens;
    praise him in the heights above.
Praise him, all his angels;
    praise him, all his heavenly hosts.
Praise him, sun and moon;
    praise him, all you shining stars.
Praise him, you highest heavens
    and you waters above the skies.

Let them praise the name of the Lord,
    for at his command they were created,
and he established them for ever and ever—
    he issued a decree that will never pass away.

Footnotes:

  1. Psalm 148:1 Hebrew Hallelu Yah; also in verse 14

The Psalmist calls upon all creation to praise the Lord.  

Most parts of creation effectively praise God by being and behaving as God designed. Only humans decided to rebel against God. Only humanstruly have a choice whether to obey God and praise Him or to disobey. God has given us free will to choose. Thank God that He doesn’t force you to love Him. Let us freely choose to love, obey and Praise God.


JUMAMOSI TAREHE 25 MEI 2019 ASUBUHI                                   

ZABURI 148:1-6

 

 Haleluya. Msifuni Bwana kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu. 
Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote. 
Msifuni, jua na mwezi; Msifuni, nyota zote zenye mwanga. 
Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu. 
Na vilisifu jina la Bwana, Kwa maana aliamuru, vikaumbwa. 
Amevithibitisha hata milele na milele, Ametoa amri wala haitapita

Mtunga zaburi anaita uumbaji wote kumsifu Mungu. Viumbe vingi vinamtukuza Mungu kwa kuwepo na kufanyakazi jinsi Mungu alivyowaumba. Ni binadamu tu walimwaasi Mungu. Binadamu tumepewa heshima kuchagua kila moja kama tutaheshimu na kupenda, kumtii na kumsifu Mungu au tutakataa. Mshukuru Mungu umepewa uhuru huu. Tumia vizuri uhuru wako.