Date: 
17-01-2017
Reading: 
Psalm 115:12-18 (NIV)

TUESDAY 17TH JANUARY MORNING                     

Psalm 115:12-18 New International Version (NIV)

12 The Lord remembers us and will bless us:
    He will bless his people Israel,
    he will bless the house of Aaron,
13 he will bless those who fear the Lord—
    small and great alike.

14 May the Lord cause you to flourish,
    both you and your children.
15 May you be blessed by the Lord,
    the Maker of heaven and earth.

16 The highest heavens belong to the Lord,
    but the earth he has given to mankind.
17 It is not the dead who praise the Lord,
    those who go down to the place of silence;
18 it is we who extol the Lord,
    both now and forevermore.

Praise the Lord.[a]

Footnotes:

  1. Psalm 115:18 Hebrew Hallelu Yah

In this Psalm we are encouraged to worship and praise God. God is a Great God. He is worthy of our praise. He is the creator of all things.  God blesses us in many ways. 

Let us give thanks and praise to God for all His goodness.  

JUMANNE TAREHE 17 JANUARI 2017 ASUBUHI                                 

ZABURI 115:12-18

12 Bwana ametukumbuka, Naye atatubariki sisi. Ataubariki mlango wa Israeli, Ataubariki mlango wa Haruni, 
13 Atawabariki wamchao Bwana, Wadogo kwa wakubwa. 
14 Bwana na awaongeze ninyi, Ninyi na watoto wenu. 
15 Na mbarikiwe ninyi na Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 
16 Mbingu ni mbingu za Bwana, Bali nchi amewapa wanadamu. 
17 Sio wafu wamsifuo Bwana, Wala wo wote washukao kwenye kimya; 
18 Bali sisi tutamhimidi Bwana, Tangu leo na hata milele.

Katika Zaburi hii tunakumbushwa kumsifu na kumwabudu Mungu wetu. Mungu kweli anastahili sifa zetu. Mungu aliumba dunia na viumbe vyote na anatunza uumbaji wake.

Tumshukuru Mungu kwa baraka zake katika maisha yetu.