Date: 
03-11-2018
Reading: 
Habakkuk 2:1-4

SATURDAY 3RD NOVEMBER 2018 MORNING                      

Habakkuk 2:1-4 New International Version (NIV)

1 I will stand at my watch
    and station myself on the ramparts;
I will look to see what he will say to me,

    and what answer I am to give to this complaint.[a]

The Lord’s Answer

Then the Lord replied:

“Write down the revelation
    and make it plain on tablets
    so that a herald[b] may run with it.
For the revelation awaits an appointed time;
    it speaks of the end
    and will not prove false.
Though it linger, wait for it;

    it[c] will certainly come
    and will not delay.

“See, the enemy is puffed up;
    his desires are not upright—
    but the righteous person will live by his faithfulness[d]

Footnotes:

  1. Habakkuk 2:1 Or and what to answer when I am rebuked
  2. Habakkuk 2:2 Or so that whoever reads it
  3. Habakkuk 2:3 Or Though he linger, wait for him; / he
  4. Habakkuk 2:4 Or faith

 

The righteous person will live by Faith. This important statement is quoted  by The Apostle Paul in Romans 1:17. When Rev Dr Martin Luther read this he realized a very important truth. The Gospel message is that we are saved by faith and not by works. We can not earn our salvation. There is nothing which we can add to the finished work  of Jesus in dying for us on the cross and rising again.  Just believe and repent your sins.  

 

JUMAMOSI TAREHE 3 NOVEMBA 2018 ASUBUHI                     

HABAKUKI 2:1-4

1 Mimi nitasimama katika zamu yangu, nitajiweka juu ya mnara, nitaangalia ili nione atakaloniambia, na jinsi nitakavyojibu katika habari ya kulalamika kwangu. 
Bwana akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.
Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia. 
Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. 
 

Mwenye haki ataishi kwa Imani. Maneno haya muhimu  zimeandikwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 1:17

Dk Martin Luther akisoma maneno haya alielewa kwamba kazi ya Yesu Kristo msalabani imekamilika. Si kwamba matendo yetu mema inahitajika kukamilisha kazi yake ya kuleta wokovu kwa binadamu. Sisi tunapaswa tu kutubu dhambi zetu na kumwamini Yesu Kristo.