Date: 
19-09-2018
Reading: 
John 6:66-71 (Yohana 6:66-71)

WENESDAY 19TH SEPTEMBER 2018

John 6:66-71 New International Version (NIV)

66 From this time many of his disciples turned back and no longer followed him.

67 “You do not want to leave too, do you?” Jesus asked the Twelve.

68 Simon Peter answered him, “Lord, to whom shall we go? You have the words of eternal life. 69 We have come to believe and to know that you are the Holy One of God.”

70 Then Jesus replied, “Have I not chosen you, the Twelve? Yet one of you is a devil!” 71 (He meant Judas, the son of Simon Iscariot, who, though one of the Twelve, was later to betray him.)

As Christians we will encounter hardships and challenges, but we should not waver from our faith in Jesus Christ. Pray that God gives you spiritual strength to persevere through hardships.

JUMANNE TAREHE 19 SEPTEMBA 2018

YOHANA 6:66-71

66 Kwa ajili ya hayo wengi miongoni mwa wanafunzi wake wakarejea nyuma, wasiandamane naye tena.
67 Basi Yesu akawaambia wale Thenashara, Je! Ninyi nanyi mwataka kuondoka?
68 Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
69 Nasi tumesadiki, tena tumejua, ya kuwa wewe ndiwe Mtakatifu wa Mungu.
70 Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
71 Alimnena Yuda, mwana wa Simoni Iskariote; maana huyo ndiye atakayemsaliti; naye ni mmojawapo wa wale Thenashara.

 Katika maisha yetu ya kumfuata kristo tutakutana na shida na changamoto mbalimbali, lakini zisitufanye tumuache kristo. Mwombe mungu akupe nguvu ya kiroho ya kushinda majaribu.