THURSDAY 11TH JUNE 2020 MORNING
Romans 16:17-20 New International Version (NIV)
17 I urge you, brothers and sisters, to watch out for those who cause divisions and put obstacles in your way that are contrary to the teaching you have learned. Keep away from them. 18 For such people are not serving our Lord Christ, but their own appetites. By smooth talk and flattery they deceive the minds of naive people. 19 Everyone has heard about your obedience, so I rejoice because of you; but I want you to be wise about what is good, and innocent about what is evil.
20 The God of peace will soon crush Satan under your feet.
The grace of our Lord Jesus be with you.
Believers need to be on guard against false teachers; and learn to live out their faith.
Jesus didn’t say that the world will know we are Christians by our correct doctrine, but by our love to one another..
ALHAMISI TAREHE 11 JUNI 2020 ASUBUHI
ROMANS 16:17-20
17 Ndugu zangu, nawasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao.
18 Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.
19 Maana utii wenu umewafikilia watu wote; basi nafurahi kwa ajili yenu, lakini nataka ninyi kuwa wenye hekima katika mambo mema, na wajinga katika mambo mabaya.
20 Naye Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Wakristo tunahitaji kujihadhari na mafundisho ya uongo; na kujifunza kuiishi imani yetu.
Yesu hakusema kwamba ulimwengu utatutambua ya kuwa sisi tu Wakristo kwa mafundisho yetu sahihi, bali kwa namna tutakavyoishi na kupendana.