Date: 
21-01-2017
Reading: 
Matthew 9:23-26 New International Version (NIV)

 SATURDAY  21ST JANUARY 2017 MORNING                                   

Matthew 9:23-26 New International Version (NIV)

23 When Jesus entered the synagogue leader’s house and saw the noisy crowd and people playing pipes, 24 he said, “Go away. The girl is not dead but asleep.” But they laughed at him. 25 After the crowd had been put outside, he went in and took the girl by the hand, and she got up.26 News of this spread through all that region.

Jesus came to this grieving family when requested and He worked a miracle to raise the daughter to life.

We can call upon Jesus in prayer. Let us talk to Jesus and bring our concerns to Him. Let us keep close to Jesus every day not just when there is a crisis or problem in our lives.

JUMAMOSI TAREHE 21 JANUARI 2017 ASUBUHI                          

MATHAYO 9:23-26

23 Yesu alipofika nyumbani kwa yule jumbe, aliona wapiga filimbi, na makutano wakifanya maombolezo, 
24 akawaambia, Ondokeni; kwa maana kijana hakufa, amelala tu. Wakamcheka sana. 
25 Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule kijana akasimama. 
26 Zikaenea habari hizi katika nchi ile yote. 

Yesu aliitwa kusaidia familia hii yenye huzuni. Yesu alikuja na alitenda miujiza na kumfufua binti yao.

Sisi tunaweza kumwita Yesu katika maombi. Yesu yu tayari kusikia maombi yetu kila wakati. Tusisubiri tatizo litokee. Tuwe karibu na Yesu siku zote na tuzungumze naye katika maombi kila siku.