Date: 
17-04-2019
Reading: 
Matthew 21:1-11

WEDNESDAY 17TH APRIL 2019 MORNING                                        

Matthew 21:1-11 New International Version (NIV)

Jesus Comes to Jerusalem as King

1 As they approached Jerusalem and came to Bethphage on the Mount of Olives, Jesus sent two disciples, saying to them, “Go to the village ahead of you, and at once you will find a donkey tied there, with her colt by her. Untie them and bring them to me. If anyone says anything to you, say that the Lord needs them, and he will send them right away.”

This took place to fulfill what was spoken through the prophet:

“Say to Daughter Zion,
    ‘See, your king comes to you,
gentle and riding on a donkey,
    and on a colt, the foal of a donkey.’”[
a]

The disciples went and did as Jesus had instructed them. They brought the donkey and the colt and placed their cloaks on them for Jesus to sit on. A very large crowd spread their cloaks on the road, while others cut branches from the trees and spread them on the road.The crowds that went ahead of him and those that followed shouted,

“Hosanna[b] to the Son of David!”

“Blessed is he who comes in the name of the Lord!”[c]

“Hosanna[d] in the highest heaven!”

10 When Jesus entered Jerusalem, the whole city was stirred and asked, “Who is this?”

11 The crowds answered, “This is Jesus, the prophet from Nazareth in Galilee.”

Footnotes:

  1. Matthew 21:5 Zech. 9:9
  2. Matthew 21:9 A Hebrew expression meaning “Save!” which became an exclamation of praise; also in verse 15
  3. Matthew 21:9 Psalm 118:25,26
  4. Matthew 21:9 A Hebrew expression meaning “Save!” which became an exclamation of praise; also in verse 15

Today we are again reminded of Palm Sunday and Jesus’ triumphal entry into Jerusalem riding on a donkey. He came in peace and humility. He came to fulfill prophecy. Jesus came to Jerusalem at the start of Holy week knowing that He would be captured and condemned to die on the cross. Jesus also knew and had taught His disciples that He would rise again from the dead on the third day.

Let us thank God for Jesus Christ our Lord and Saviour.

JUMATANO TAREHE 17 APRILI 2019 ASUBUHI                          

MATHAYO 21:1-11

1 Hata walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia, 
Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee. 
Na kama mtu akiwaambia neno, semeni, Bwana anawahitaji; na mara huyo atawapeleka. 
Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, 
Mwambieni binti Sayuni Tazama, mfalme wako anakuja kwako, Mpole, naye amepanda punda, Na mwana-punda, mtoto wa punda. 
Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru, 
wakamleta yule punda na mwana-punda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake. 
Watu wengi katika ule mkutano wakatandaza nguo zao njiani; na wengine wakakata matawi ya miti, wakayatandaza njiani. 
Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni. 
10 Hata alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakisema, Ni nani huyu? 
11 Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya. 
12 Yesu akaingia ndani ya hekalu, akawafuk1 Hata walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia, 
Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee. 
Na kama mtu akiwaambia neno, semeni, Bwana anawahitaji; na mara huyo atawapeleka. 
Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, 
Mwambieni binti Sayuni Tazama, mfalme wako anakuja kwako, Mpole, naye amepanda punda, Na mwana-punda, mtoto wa punda. 
Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru, 
wakamleta yule punda na mwana-punda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake. 
Watu wengi katika ule mkutano wakatandaza nguo zao njiani; na wengine wakakata matawi ya miti, wakayatandaza njiani. 
Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni. 
10 Hata alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakisema, Ni nani huyu? 
11 Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya. 

Leo tumekumbushwa tena kuhusu Siku ya Mitende. Yesu alitimiza unabii wa Zekaria 9:9. Yesu aliingia Yerusalemu kwa amani na unyneyekevu akipanda punda. Umati walimpokea vizuri na kumshangilia. Lakini Yesu alijua kwamba alikuja Yerusalemu ile afe msalabani. Lakini alijua pia atafufuka na alifundisha mitume mara kwa mara kuhusu yatakayompata.

Mshukuru Mungu kwa kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo mwokozi wetu.