Date: 
30-07-2018
Reading: 
Luke 5:36-39

MONDAY 30TH JULY 2018  

Luke 5:36-39 New International Version (NIV)

36 He told them this parable: “No one tears a piece out of a new garment to patch an old one. Otherwise, they will have torn the new garment, and the patch from the new will not match the old. 37 And no one pours new wine into old wineskins. Otherwise, the new wine will burst the skins; the wine will run out and the wineskins will be ruined. 38 No, new wine must be poured into new wineskins. 39 And no one after drinking old wine wants the new, for they say, ‘The old is better.’”

Jesus was talking to the Pharisees. He wanted to point out that they were too attached to the old ways of the Jewish faith. Jesus came to bring a new faith not just to patch up or repair the Jewish faith.

We cannot be saved by following a set of laws.  We need to be saved.

We need to be transformed by faith in Jesus Christ and by the power of the Holy Spirit to sanctify us.

JUMATATU TAREHE 30 JUALI 2018 ASUBUHI                             

LUKA 5:36-39

36 Akawaambia na mithali, Hakuna akataye kiraka cha vazi jipya na kukitia katika vazi kuukuu; na kama akitia, amelikata lile jipya, na kile kiraka cha vazi jipya hakilingani na lile vazi kuukuu. 
37 Wala hakuna mtu atiaye divai mpya katika viriba vikuukuu; na kama akitia, ile divai mpya itavipasua vile viriba, divai yenyewe itamwagika, na viriba vitaharibika. 
38 Lakini divai mpya sharti kutiwa katika viriba vipya. 
39 Wala hakuna anywaye divai ya kale akatamani divai mpya; kwa kuwa asema, Ile ya kale ndiyo iliyo njema.

Yesu alikuwa anongea na Mafarisayo. Walipenda sana kushika amri na utaratibu ya dini ya Kiyahudi. Yesu hakuja kukarabati dini ya Kiyahudi bali kuleta imani mpya.

Hatuwezi kuhesabiwa haki mbele za Mungu kwa njia ya kufuata sheria. Tunapaswa kuokolewa kwa imani katika Yesu Kristo. Yesu ametufia msalabani kulipa deni la dhambi zetu. Pia tunapaswa kutakaswa na Roho Mtakatifu.