Date: 
25-09-2019
Reading: 
Luke 2:22-24

WEDNESDAY  25TH SEPTEMBER 2019       MORNING                            

Luke 2:22-24 New International Version (NIV)

 

22 When the time came for the purification rites required by the Law of Moses, Joseph and Mary took him to Jerusalem to present him to the Lord 23 (as it is written in the Law of the Lord, “Every firstborn male is to be consecrated to the Lord”, 24 and to offer a sacrifice in keeping with what is said in the Law of the Lord: “a pair of doves or two young pigeons.”

 

As Christians, we need to make space in our lives to express thanksgiving for the blessings we have received and to praise God for his mercies. We need God’s guidance and forgiveness. We need to pray with our children, and teach them to pray. We need to make God a part of our daily lives.


JUMATANO TAREHE 25 SEPTEMBA 2019 ASUBUHI                    

LUKE  2:22-24

22 Kisha, zilipotimia siku za kutakasika kwao, kama ilivyo torati ya Musa walikwenda naye hata Yerusalemu, wamweke kwa Bwana,
23 (kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto mwanamume aliye kifungua mimba ya mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana),
24 wakatoe na sadaka, kama ilivyonenwa katika sheria ya Bwana, Hua wawili au makinda ya njiwa wawili.

Sisi Wakristo tunahitaji kutenga muda katika maisha yetu, kuonyesha shukrani zetu kwa baraka tunazopokea toka kwa Mungu; na kumtukuza yeye kwa ajili ya rehema zake kwetu. Tunahitaji msamaha na uongozi wa Mungu. Wakristo, tunahitaji kufanya maombi pamoja na watoto wetu; na kuwafundisha kusali. Tukumbuke kwamba Mungu anapaswa kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.