Date: 
19-01-2017
Reading: 
John 19:25-27 New International Version (NIV)

THURSDAY 19TH JANUARY 2017 MORNING                  

John 19:25-27 New International Version (NIV)

25 Near the cross of Jesus stood his mother, his mother’s sister, Mary the wife of Clopas, and Mary Magdalene. 26 When Jesus saw his mother there, and the disciple whom he loved standing nearby, he said to her, “Woman,[a] here is your son,” 27 and to the disciple, “Here is your mother.” From that time on, this disciple took her into his home.

Footnotes:

  1. John 19:26 The Greek for Woman does not denote any disrespect.

Even in His pain and suffering of the cross Jesus saw His mother in her grief and had compassion on her. He asked The Apostle John to look after His mother.

In the church we need to show compassion to widows and orphans and those in need. Think what you can do help those with various problems.   

ALHAMISI TAREHE 19 JANUARI 2017 ASUBUHI                    

Yohana 19:25-27

5 Na penye msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mamaye, na umbu la mamaye, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene. 
26 Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao. 
27 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua nyumbani kwake. 

Hata katika maumivu na mateso yake msalabani Yesu alimhurumia mama yake. Yesu aliona huzuni ya mama yake na alimwomba Mtume Yohana kumtunza mama yake.

Katika kanisa pia tunapaswa kujali wajane, watoto yatima na wenye mahitaji mbalimbali. Tafakari jinsi wewe uavyoweza kuwasaidia wahitaji.