Date: 
18-02-2017
Reading: 
Jeremiah 15:19-21 (NIV)

SATURDAY 18TH FEBRUARY 2017 MORNING                      

Jeremiah 15:19-21  New International Version (NIV)

19 Therefore this is what the Lord says:

“If you repent, I will restore you
    that you may serve me;
if you utter worthy, not worthless, words,

    you will be my spokesman.
Let this people turn to you,

    but you must not turn to them.
20 I will make you a wall to this people,
    a fortified wall of bronze;
they will fight against you

    but will not overcome you,
for I am with you

    to rescue and save you,”
declares the Lord.

21 “I will save you from the hands of the wicked
    and deliver you from the grasp of the cruel.”

God urges the Israeli people to stop rebelling against Him and worshipping foreign gods. God calls them to repent and turn back to Him. Then God will restore them.

God is loving and merciful. Trust in Him fully.

JUMAMOSI TAREHE 18 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                          

YEREMIA 15:19-21

19 Kwa sababu hiyo Bwana asema hivi, Ukirudi, ndipo mimi nitakapokurejeza, upate kusimama mbele zangu; nawe ukitoa kilicho cha thamani katika kilicho kibovu, utakuwa kama kinywa changu; nao watakurudia wewe, bali hutawarudia wao. 
20 Nami nitakufanya kuwa kama ukuta wa boma la shaba juu ya watu hawa; nao watapigana nawe; lakini hawatakushinda; maana mimi nipo pamoja nawe, ili nikuokoe, na kukuponya, asema Bwana. 
21 Nami nitakuokoa na mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa katika mkono wao wenye kutisha.

Mungu anasihi watu wake taifa la Israeli kuacha uasi na kurudi kwake.  Mungu anaahidi kuwarejesha na kuwasamehe kama watatubu.

Mungu ni mwenye huruma na yupo tayari kutusamehe. Tumtegemee kabisa.