Date: 
22-04-2017
Reading: 
Isaiah 45:5-8 (NIV)

SATURDAY 22ND APRIL 2017 MORNING                                 

Isaiah 45:5-8 New International Version (NIV)

I am the Lord, and there is no other;
    apart from me there is no God.
I will strengthen you,

    though you have not acknowledged me,
so that from the rising of the sun
    to the place of its setting
people may know there is none besides me.

    I am the Lord, and there is no other.
I form the light and create darkness,
    I bring prosperity and create disaster;
    I, the Lord, do all these things.

“You heavens above, rain down my righteousness;
    let the clouds shower it down.
Let the earth open wide,

    let salvation spring up,
let righteousness flourish with it;

    I, the Lord, have created it.

Truly our God is the one true God. He is the creator. He has made the universe and all that is in it. He deserves our praise and honour.  God is also the one who saves us from our sins. Through the death and resurrection of Jesus our sins can be forgiven and we can have peace with God.

JUMAMOSI TAREHE 22 APRILI 2017 ASUBUHI                         

ISAYA  45:5-8

 5 Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu; nitakufunga mshipi ijapokuwa hukunijua; 
6 ili wapate kujua toka maawio ya jua, na toka magharibi, ya kuwa hapana mwingine zaidi ya mimi; Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine. 
7 Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni Bwana, niyatendaye hayo yote. 
8 Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki; Nchi na ifunuke, ili kutoa wokovu, Nayo itoe haki ikamee pamoja; Mimi, Bwana, nimeiumba. 

Mungu wetu ni Mungu wa kipekee, Mungu wa kweli. Mungu wetu aliumba ulimwengi wote na viumbe vyote vya ajabu.

Mungu pia ametupa wokovu. Kupitia kifo na kufufuka wa Yesu Kristo, tunaweza kuokolewa. Mungu atasamehe dhambi zetu tukitubu na kumtegemea Yesu Kristo.